Header

Black Coffee akumbwa ya skendo ya wizi

DJ,mtayarishaji na mshindi wa tuzo kimataifa ya usanii ya BET Nkosinathi Maphumulo maarufu kama Black Coffee ameingia katika malalamiko ya kisheria na mfanyabiashara toka Limpopo juu ya matumizi ya jina la kufanana kampuni yake.

Kupitia mtandao wa kijamii mwezi huu Black Coffee alitangaza uzinduzi wa chuo cha sanaa cha vijana F.A.M chuo kitakachokuwa na jukumu la kuwaandaa vijana wenye ujuzi na elimu ya sanaa,mitindo na muziki.

Baadae ya tangazo hilo la Balck Coffee mfanyabiashara huyo anayefahamika kwa jina Matodzi Makananisa amelalamikia ufanano wa jila la chuo na brandy yake ya FAME.

Makananisa ni mmiliki wa FAME Awards, FAM.E Charlity Cup, FAME Creative School of the Arts na kampuni yake inayopatikaka Limpopo.

Hata hivyo FAME inasimama kama FILM,Art,Music and Entertainment na FAM ya Black inasimama kama Fashion, Art and Music.

 

Chanzo: Sunday World SA.

 

Comments

comments

You may also like ...