Header

Mashabiki wamshika pabaya Eric Omondi

Eric Omond na Chantal Graziolli

Mchekeshaji maarufu Eric Omondi kutoka Kenya na mpenzi wake Chantal Grazzioli warushiwa maneno na mashabiki juu mapenzi yao.
Hivi karibuni Chantal mwenye mchanganyiko wa asili ya Italia alipostiwa kupitia mtandao wa Instagram na Eric Omond akiwa amekalia gari aina ya Mercrdes Benz inayotajwa kuwa ni umiliki mpya wa Eric na kuambatanisha maelezo “Hii ndio inaitwa kukaliwa na bibi literally.” post iliyoshindikizwa na maoni ya mashabiki ikiwa ni pamoja na kutaka waoane.
Tarzan Johnso: erico why don’t u marry her if u truely believe she’s the love of ur life…I love this couple but this extreme social media luv always end up badly..it’s just cosmetic …time will be the judge…
Fayy M’c Otieno:As long as mwenye amekukalia chapati is worth it then it’s OK ????
Allan Cash Flow Omondi: Mtu mamercedes benz …eehh Pesa ber wuod Luo #pogna wacha tu akukalie she’s yours literally
David Mugo Kanyeria: Umepeleka mbuzi kwao ama ni kujichocha?
Tirus Lilly: Unajua hizi magari ni plot ngapi KAMULU??
Naimar Naizy: hahahaha!ng’ombe tunapeleka soon”
Don Pablo:Bibi na hujamuoa.
Hata hivyo Eric Omondi karibuni ataitembelea Tanzania safari ambayo itakuwa ya kibiashara zaidi.

Comments

comments

You may also like ...