Header

Victoria Kimani kuinawa Chocolate City

Mwanamuziki wa muziki wa afro pop na RnB kutoka Kenya mwenye uraia wa Merikani Vitoria Kimani aonesha dalili wazi za kuachana na lebo ya muziki ya Chocolate City ya nchini Nigeria.

Kupitia ukursa wake wa Instagram Victoria apost picha yenye maelezo ya kuwa baada ya album yake ya SAFARI basi huo ndo utakuwa mwisho wa yeye kufanya kazi na lebo hiyo.

‘Mann “these labels got me feelin independent! But still I keep pushing cuz greater is he that is in me than he that is in the world. Safari is my last project with @choccitymusic …. Excited about what’s next’. yalikuwa ni maneno ya Victoria kwenye post yake.

Mpaka sasa Victoria akeuwa chini ya usimamizi kumuziki wa lebo hiyo kwa muda wa miaka mitano sasa na akiondoka katika lebo hiyo atakuwa anaungana na wasanii wakubwa Afrika ambao ni pamoja na Milli, Pryse, Ice Prince na Brymo.

Victoria Kimani anafanya vizuri na kazi yake mpya kabisa Lover aliyomshirikisha Phyno.

Comments

comments

You may also like ...