Header

Diamond Platnumz ashindwa kujizuia kwa Jokate

Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz bado urafiki wake na mrembo Jokate utaendelea kudumu kwa miaka mingi sana kwani si kwa upendo anaounesha kwa malkia huyo ambae miaka ya nyuma alishawahi kutoka nae kimapenzi.

Leo Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram amemtumia salamu za siku ya kuzaliwa mrembo Jokate na kuandika “Big birthday to my brother @bobjuniortz my lil handsome #JuhJuh and my Beautiful Jojo, @JokateMwegelo”

Yesss!!urafiki bado upo na chochote chaweza kutokea kwa wawili hao ingawaje kwa sasa kila mtu ana mtu wake .

Comments

comments

You may also like ...