Header

Kim Kardashian kuhusu kuvamiwa Paris: Nilikuwa nimejiandaa kubakwa na kuuawa

Kwenye kipindi kipya cha Keeping Up With the Kardashians, Kim Kardashian West amesimulia kwa uchungu kile kilichotokea Paris, Ufaransa mwaka jana alipovamiwa na majambazi na kumpora mali zenye thamani kubwa.

Anasema ilikuwa saa kumi na nusu alfajiri, Oct. 3, 2016. Kim alikuwa amepumzika kwenye hoteli ya Paris baada ya kutoka out na dada yake Kourtney na stylist Simone Harouche. Akiwa amelala kitandani, mrembo huyo mwenye miaka 36 alikumbushia kusikia mlio wa nyayo za miguu zikipanda ghorofani, na kuamini kuwa alikuwa ni dada yake na rafiki yake wakirudi kutoka kula bata.

Aliouliza ni akina nani, hakupewa jibu. “And then at that moment, when there wasn’t an answer, my heart started to get really tense. I knew something wasn’t quite right,” anasema. Kupitia mlangoni, Kim aliona watu wawili waliokuwa wamevalia sare za polisi wakiwa wamemshikilia mtu aliyekuwa amefungwa na pingu huku akiwa ameshikilia funguo za chumba chake.

“What I’ve heard from talking to him afterward is, they said, you know, ‘Where’s the rapper’s wife? Let us up to her room!’ in French,” anakumbuka Kim. Alibaini kuwa mlinzi huyo alikuwa amegeuka kuwa mkalimani sababu majambazi na yeye Kim hawakuelewana. Mlinzi huyo alimuambia ampe pete yake yenye thamani ya dola milioni 4 aliyopewa kama zawadi na mume wake Kanye West.

Majambazi hayo yaliwapeleka Kim na mlinzi huyo kwenye kolido, juu ya ghoroga na ndipo alipobaini kuwa walikuwa na silaha. “They dragged me out on to the hallway on top of the stairs,” Kim aliwasimulia dada zake akilia. “That’s when I saw the gun clear, like clear as day. I was kind of looking at the gun, looking down back at the stairs.”

“I was like; ‘I have a split second in my mind to make this quick decision. Am I going to run down the stairs and either be shot in the back? It makes me so upset to think about it. Either they’re going to shoot me in the back, or if I make it and they don’t, if the elevator does not open in time, or the stairs are locked, then like I’m f—ed. There’s no way out,” alisimulia.

Watu hao walimkokota na kumrudisha tena chumbani kwake huku akimuomba mlinzi awaambia wasimuue sababu alikuwa na familia. Mmoja wa watu hao alimziba mdomo wake na tape na kuikamata miguu yake na kumvuta hadi mbele ya kitanda. Anasema hapo ndipo akili yake ilijiandaa kwa mabaya zaidi.

“This is the moment they’re going to rape me. I fully mentally prepped myself, and then he didn’t,” alisema Kim. Mtu huyo alimfunga na tape zingine mguuni huku akiwa amemweka bunduki kichwani. Kim aliamini kuwa hapo walikuwa wanaenda kumuua.

“I just prayed that Kourtney’s going to have a normal life after she sees my dead body on the bed,” Kim anasema aliwaza. Kitu cha mwisho alichokumbuka kuwaza ni, “I have a family. I have my kids, my husband, my mom — I’m not going to make it out of here. I know how these things go.”

Cha kushangaza, watu hao walimchukua na kumweka bafuni kabla ya kukimbia na vitu walivyopora.

Comments

comments

You may also like ...