Header

Sakata la Clouds Media na RC Paul Makonda: Waziri Nape Nnauye aunda kamati ya uchunguzi

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nauye ameunda kamati maalumu itakayofanya kazi kwa siku moja kuchunguza kitendo kilichotokea cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Paul Makonda kuvamia Chombo cha habari Clouds Media siku ya ijumaa usiku.

Mbele ya Waandishi wa habari Mhe Nape amelaani kitendo hicho na kuwataka waandishi wa habari kuwa watulivu katika kipindi hichi wakati kamati hiyo inafanya uchunguzi juu ya tukio hilo,Tazama video hapa chini

 

Comments

comments

You may also like ...