Header

Mpoki ampa tano Mack Regani: Awachana live Orijino Komedi

Ukiistajabu ya musa utaona ya Firauni!!Leo ni siku ya kuzaliwa mmoja ya Member wa kundi la Orijino Komedi Mack Regani kipara na mpoki amemtumia ujumbe ambao umejaa mafumbo kibao yasiyotafsirika.

Image result for Orijino Komedi

Orijino Komedi

kupitia mtandao wa Instagram mpoki ameandika “Happy birthday mwana afadhali wewe umekuwa rafiki bora kwangu muda wote siyo wale ambao wanajitekenya alafu wanacheka wenyewe wanaingiza kidole sehemu mbaya wakitegemea harufu nzuri,,big up mark regan kipara tupo pamoja

Kwa ujumbe huu huenda kauli yake ya kusema “wewe umekuwa rafiki bora kwangu muda wote siyo wale ambao wanajitekenya alafu wanacheka” amewachana member wenzake wa Orijino Komedi yaani Masanja,Joti na Vengu ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakipotezeana kwenye mitandao ya kijamii.

Comments

comments

You may also like ...