Header

Naj amaliza utata kuhusu nyumba aliyowahi kuipost Barakah The Prince.

Moja kati ya wasanii waliomake headlines mwishoni mwa mwaka 2016 alikua ni Barakah na hii ilikua baada ya kupost nyumba aliyosema ni yake kwenye maelezo ya video yake halafu baada ya siku chache msanii Alawi Junior kwenda kwenye nyumba na kupost huku akimpongeza Mama mkwe wake ambaye ni mama yake Naj kwa nyumba hiyo.

Ieleweke kuwa Naj na Alawi Junior ni mtu na shemeji yake kwa sababu dada yake Naj(Lady Naa) ni mchumba wa Alawi Junior,hivyo baada ya post hizo watu wengi wakawa wako njia panda huku kila mmoja akiwa hajui kipi ni sahihi zaidi kati ya watu hao wawili.

Leo mpenzi wake Barakah Da Prince (Naj) kakubali kuusema ukweli anaoujua kuhusu mjengo huu kupitia XXL ya Clouds FM>>’I don wanna really talk about something kwasababu iliwachanganya sana watu kama wewe mwenyewe nahisi pia imekuchanganya’

‘Kwasababu yeye kaongea vile na Barakah akaonyesha hivi so sitaki nifunguke tena mi nikaanza kuongea hichi afu ikaanza kuchukuliwa vingine,sometimes unaweza kuongea hichi watu wakataka kukichukulia wanavyotaka kukichukulia,kuna watu wengine yani kama mtu anaweza akubali ila akataka tu.So i don wanna really do that’

‘Mimi mama yangu nyumba zake zinajulikana kabisa,hata yeye mwenyew kilimshangaza like she wasnt,kwanza yeye alicheka,kiukwel kwanza alikuwa haelewi  kwanza nadhani swali lake la kwanza akaniuliza “are you good?’.

‘Niko poa maa don worry about that just do yo thing there is nothing serious, U never know sometimes kwenye industry kuna mambo mengi that real can you stop now’ – Naj.

Comments

comments

You may also like ...