Header

Rapa Wakazi adata kwa mapenzi ya Warembo wa Kenya

Ukimuuliza swali rapa Wakazi kati ya wanawake wa Bongo na Wanawake wa Kenya ni wepi wanaongoza kuwa na mapenzi ya dhati na muziki wa Hip Hop? basi jibu lake bila shaka yoyote itakuwa ni Warembo wa Kenya.

Wakazi kupitia ukurasa wake wa Twitter ameweka hadharani ukweli huo kwa kuandika “Truth be told, mademu wa Kenya wanazidi mademu wa TZ for the love of Hip Hop. I felt like I was in the US from several encounters za Nairobi

Rapa Wakazi amehusisha upendo huo kwa wanawake wa Kenya kwa kufananisha  na Mademu wa Marekani walivyokuwa na love na muziki wa Hip Hop.

Comments

comments

You may also like ...