Header

Taifa Stars kuvaana na Zambia (Chipolopolo)

Taifa Stars inatarijia kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa kama kalenda ya FIFA inavyoonesha na mchezo huo unatarajia kufanyika ijumaa hii jijini Dar es salaam dhidi ya timu ya Taifa ya Zambia maarufu kama Chipolopolo.

Related image

Taifa Stars

Chama cha soka nchini zambia FAZ kimethibitisha taarifa hizo za mchezo huo huku kocha mkuu wa Timu ya zambia Wesdon Nyiremba ameatangaza kikosi cha majina 28 kuelekea mchezo huo siku ya Ijumaa.

Taifa stars tayari wamejitupa kambini kujifua na mchezo huo na mwingine ujao dhidi ya Buruundi.

Comments

comments

You may also like ...