Header

Barnaba akubali kufunguka kuhusu uhusiano wake na Mama mtoto wake.

Tangu tuanze kusikia stori za Barnaba kuwa na matatizo na Mama mtoto wake imeshakua muda mrefu sana na yeye hakuwahi kuwa tayari kuliongelea hili sehemu yoyote,leo March 22 kaamua kuweka kila kitu hadharani kinachomhusu yeye na mama watoto wake.

Kwenye maelezo yake aliyokua akiyatoa kupitia XXL ya Clouds FM alipokwenda kutambulisha wimbo wake mpya,hizi ni nukuu chache kati ya nyingi alizozingumza leo alipokua kwenye kipindi hicho.

Comments

comments

You may also like ...