Header

Felix wa Makomando atia neno kwenye Singeli

Msanii wa bongo fleva kutoka kundi la Makomando Fred Felix atia neno juu ya kukua kwa muziki wa Singeli Tanzania.

Akizungumza na Dizzim Online, Fred ametoa mtazamo wa anachokiona katika muziki huo alipoulizwa swali la yeye anaonaje kasi ya kupanda kwa muziki huo kipindi cha mwaka jana na mwaka huu ambapo amesema kuwa mbali na Singeli kuwa muziki mzuri lakini kuna uwezekano usifike kuwa moja ya muziki wa kutambulika zaidi Afrika.
“singeli ni muziki mzuri wa kuusikiliza tu mi sifikirii kama utavuka boda uko nchi nyingine za Africa kututambulisha, mfano nchi kama Ivory  coast kuna mapigo tu kama aya yanapigwapigwa so mi siupi nafasi kihivyo sana” Alisema Fred.

Comments

comments

You may also like ...