Header

Hii ndio aina ya wanawake ambao Kiss Daniel anavutiwa nao

Mwanamuziki maarufu wa Nigeria aliyetamba hasa kwa kibao cha ‘Woju’ Anidugbe Oluwatobiloba Daniel a.k.a Kiss Daniel ametaja aina ya wanawake anaowapenda kitabia na muonekano.

Katika moja ya mahoniano yake na mtandao wa Punch.ng hivi karibuni Kiss Daniel alibainisha kuwa anapenda sana wanawake waoweza kutwerk katika video zake lakini sio aina ya wanamke ambao anawapenda lakini kuhusu kuoa anapenda kuoa mwanamke wa aina tofauti na hao.

“napenda wanawake wanaotwerk na sio kitu kibaya lakini linapokuja suala mimi kuoa sio aina ya mwanamke nianyependa kushare naye maisha yangu. nafikiri uelewa ni kitu muhimu sana kwangu. Utafika muda ambao umri utaenda ambapo jambo la kutwer halitawezekana tena” Alisema Kiss Daniel.

Twerking ni aina ya uchezaji ambayo mwanamke utikisa makalio na kubinuka.

Comments

comments

You may also like ...