Header

Madansa wa Eddy Kenzo wapata shavu nchini Australia

Dancers waliojizolea umaarufu kupitia wimbo wa Sitya Loss ‘Triplets Ghetto Kids’ a.k.a Sitya Loss Kids baada ya mashavu mengi sasa waangukia shavu lingine kubwa Australia pasaka hii.

Shavu hilo litawataka wa kuperform katika miji mikubwa ya Australia ambayo ni Sydney, Perth, Melbour na mji mingine wikiendi ya Pasaka.

“Australia, we are coming this Easter. Parents book tickets and bring your kids for a great dance show,” Walisema.

Htava hivyo Show hiyo itakuwa ni ya kimafilia zaidi lakini pia itawahusisha wote wanaopenda michezo ya watoto na show ya kucheza.

Comments

comments

You may also like ...