Header

Weusi wasaini dili nono la mamilioni na Airtel

Ni faraja kubwa sana kuona makampuni makubwa ya kibiashara yanawekeza kwa kutoa mashavu kwa wasanii wetu wa Tanzania kwani tumeona dili kibao kwa wasanii wazawa zikimiminika na awamu hii ni zamu ya Weusi Kampuni .

Weusi jana kupitia ukurasa wa Twitter wa mtandao wa simu za mkononi Airtel walionesha picha za wasanii wa kundi hilo wakiwa ndani ya Ofisi zao,Ingawaje bado hakuna taarifa rasmi ya mkwanja walioingiza kwenye Dili hilo.

Comments

comments

You may also like ...