Header

Mwanasheria Alberto Msando aeleza umuhimu wa Msanii kuwa na Mwanasheria wake (+Video)

Mwanasheria maarufu nchini Tanzania Alberto Msando ni miongoni mwa Wanasheria ambao wamekuwa wakipigania kufuatilia haki za wasanii hususani pale inapofikia suala la Madai ya kazi zao au kesi tofauti tofauti zinazowapata Wasanii kwa kuelezea umuhimu wa kila msanii kuwa na Mawakili/Wanasheria wao.

Alberto Msando amesema wasanii kukosa mawakili au Wanasheria wao huwafanya wapoteze haki zao za msingi kwani wanakosa weledi wa kudai haki zao,Msikilize hapa chini mwanasheria huyo akizungumzia masuala mbali mbali ya kisheria yanayowahusu wasanii ikiwemo na suala la msanii kuwa na Wakili wake

Comments

comments

You may also like ...