Header

Big Jah Man atoa siri ya kusainiwa kwenye lebo ya Fid Q ‘Cheusi Dawa’

Msanii mkongwe wa muziki wa ragga na Dancehall kutoka Tanzania Big Jah Man ambaye anafanya poa na kazi yake mpya ya Mabundi aliyoamshirikisha Fid Q atoa siri ya kusainiwa Cheusi Dawa.

Akizungumza na Dizzim Online Big Jah Man amesema kuwa nidhamu na mahusiano mema yaliyopo katia yake na Fid Q ni kati ya sababu kuu zenye mchango wa wawili hao kufanya kazi chini ya kivuli cha Cheusi Dawa.

Hivyo Cheusi Dawa ni lebo inayomilikiwa na Fid Q na Big Jah Man ni msanii wa kwanza kuasini chini ya lebo hiyo.

 

 

Comments

comments

You may also like ...