Header

“Sitaanguka kama Vanessa Mdee” – Mimi Mars

Kitinda mimba wa familia ya Mdee na Hitmaker wa ngoma ya Sugar ‘Mimi’ Mars amehaidi kuwashangaza mashabiki tofauti na ilivyotokea kwa ndugu yake Vanessa Mdee.

Akizungumza na Dizzim Online Mimi Mars amesema kuwa asilimia kubwa ya familia yao wamejihushisha na masuala ya utangazaji na uandishi wa habari na amejipanga vizuri zaidi asije kuanguka kama alivyoanguka dada yake Vanessa Mdee.

Kuyasikia mengi aliyozungumza kwenye mahojiano yake hapa Dizzim Online.

 

Comments

comments

You may also like ...