Header

Fahamu Mechi muhimu zilizosalia za Simba kutwaa ubingwa wa VPL msimu huu

Klabu ya Simba inakaribia kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara kwa msimu huu na ili itangazwe kuwa mabingwa ni lazima ishinde angalau Mechi 5 kati ya Sita.

2/4-Kagera-Ugenini

8/4-Mbao  – Ugenini

12/4-Toto – Ugenini

6/5-Lyon  -Nyumbani

13/5-Stand- Nyumbani

20/5-Mwadui- Nyumbani

Comments

comments

You may also like ...