Header

Nikki Wa Pili aungana na ACT Wazalendo

Nikki Wa Pili ni moja ya Wasanii ambao mbali na muziki anaweledi mkubwa wa masuala ya Kisiasa na ukiuliza yupo chama gani bila shaka atakujibu hana chama ila kwa Jana alikunwa zaidi na sera za Chama Cha ACT Wazalendo baada ya kusikiliza yale yaliyokuwa yanajadiliwa mkoani Arusha.

Nikki Wa Pili aliguswa sana na sera za ACT Wazalendo kiasi kwamba ikabidi tu awaunge mkono kwa kuwapongeza kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika “Act wazalendo wanajaribu kuzungumza juu ya mfumo (uliberali), mana washangiliaji wengi huzan mfumo ni mtu au chama flan big up act wazalendo”
Hata hivyo Nikki Wa Pili mpaka sasa haijulikani yupo chama gani? Ingawaje huwa anatoa maoni kibao pale aonapo kuna jambo la kujiongeza.

Comments

comments

You may also like ...