Header

Sahau kuhusu Man Fongo na Sholo Mwamba: Dulla Makabila ataja mfalme wake wa muziki wa Singeli

Ukizungumzia singeli kwa sasa ni muziki uliojipatia umaharufu mkubwa hapa Bongo mbali ya muziki huo kuonekana ni wakihuni lakini unapewa nafasi kubwa sana masikioni mwa watu.


Kumekuwa na ubishani mkubwa kati ya Sholo Mwamba pamoja na Man Fongo kuhusiana nani mfalme wa  muziki huo wa singeli sasa Dulla Makabila  msanii anaefanya vizuri kwenye singeli kupitia DizzimOnline amemtaja mfalme wa muziki huo.
“Ukizungumzia mfalme wa singeli ni mimi kwasababu ninafanya vizuri sana kwa sasa hivyo nastahili kuitwa mfalme wa singeli na sio Man fongo au Sholomwamba ” Amesema Makabila

Comments

comments

You may also like ...