Header

(+Video) Stan Bakora na Mkude Simba walivyopokelewa katika kanisa la Mchungaji Gwajima

Wachekeshaji na waigizaji kutoka Tanzania Stan Bakora na Mkude Simba walipokea mualiko uliotolewa na Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima Askofu Josephat Gwajima.

Mapema jana kupitia ukurasa wa instagram Mchungaji Gwajima alituma ujumbe wa mualiko kwenda kwa Stan Bakora na Mkude Simba mualiko ambao uliitikiwa jumapili ya leo na yaliyotokea yote yapo katika video hapa chini.

 

 

Comments

comments

You may also like ...