Header

Belle 9 ashikwa na kigugumizi kuhusu ndoa

Msanii wa muziki kutoka kwenye kiwanda cha bongo fleva anayefanya poa na ngoma yake ya ‘Get it to me’ Belle 9 ameshikwa na kigugumizi liliposhuka swali la kuingia kwenye ndoa.

Akizungumza na Dizzim Online amekwepa swali na kuonekana kuchangamkia swali lililofuata.

Tazama mahojiano uyafahamu mambo mengine mengi kuhusu muziki wake.

Comments

comments

You may also like ...