Header

Check Hapa DIAMOND PLATNUMZ Alivyomjibu Huyu Shabiki, Kitakuwacha Ukitabasamu

Usiku wa jana msanii wa bongo flava Diamond Platnumz alitupia picha akionyesha madini yake mpya ya dhahabu na almasi, shingoni pekee yake zikiwa ni thamani ya dola elfu hamsini za kimarekani,

Thanks God for my new GOLD & DIAMONDS collecttion…i never thought i would be able to hang 50,000$ on my neck…

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

shabiki mmoja kupitia mtandao wa instagram alicomment Kwenye picha hiyo Kwa kusema “……100m Kwenye shingo…huku watu wana ishu nashida atleast wasaidie watu kwenye maeneo mabaya” DIAMOND naye hakusita kujibu

“…..nimejenga nyumba 5 mwaka jana Iringa, misikiti miwili mmoja Morogoro pia nyingine Mtwara na madrasa tegeta na nyumba ya Imamu mbali na sadaka mbali mbali sasa unataka nitoe ela zote sadaka nami nisifurahishe ebu niombe radhi kwa hilo”  alimalizia DIAMOND ambaye hivi majuzi kaweka historia pande za Muscat.

Comments

comments

You may also like ...