Header

Hii ndiyo zawadi ya Mbwana Samatta kwa Taifa stars baada ya ushindi mnono dhidi ya Burundi

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta ametuma salamu za pongezi kwa wachezaji wenzake baada ya ushindi mnono walioupata dhidi yua Brundi jioni ya leo kunako Dimba la Taifa hapa jijini Dar es salaam.

Samatta ambae amerudi nchini ubelgiji juzi kwa ajili ya kujifua na klabu yake ya Genk kwa maandalizi ya mechi ya EUROPA dhidi ya Celta Vigo na amesema “Hongera stars kunyweni soda wote bili juu yangu” kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Comments

comments

You may also like ...