Header

Mh Nape Nnauye amkabidhi rasmi Ofisi Dk. Harrison Mwakyembe (+Picha)

Waziri mstaafu wa habari,utamaduni,sanaa na michezo Mh Nape Nnauye amemkabidhi rasmi ofisi waziri aliyeteuliwa wiki iliyopita na Rais Magufuli Dk. Harrison Mwakyembe,makabidhiano hayo yamefanyika leo mapema ofisi za wizara hiyo zilizopo jijini Dar es es salaam.

Tazama baadhi ya picha za makabidhiano hayo.

Comments

comments

You may also like ...