Header

Aggrey Morisi arejea kikosini kuwakabili Yanga (Wakimataifa)

Beki wa kati  wa Azam FC  Aggrey Morisi jana jioni alianza rasmi mazoezi mepesi  mepesi ya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya mabingwa wa tetezi Yanga Afrika utakaopigwa wikiendi hii jijini Dar es salaam kwenye dimba la taifa.

Morisi ameimbia DizzimOnline kuwa anarejea uwanjani baada ya kupata majeraha ya nyama za paja la kulia wakati alipokuwa uwanjani kwenye mchezo wa kombe la shirikisho la Afrika dhidi ya Mbambane Swallows.

“Nashukuru mungu kwa kuweza kurejea uwanjani kwani lengo langu ni kucheza  nasio kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kwani hamana kitu kibaya kwa mchezaji kama kupata majeraha yatakayo mueka nje ya uwanja kipindi kirefu sana” Amesema Morisi.

w

 

Comments

comments

You may also like ...