Header

Nikki wa Pili awapigia upatu wanandoa

Msanii na msemaji wa weusi kampuni Nikki wa Pili ametoa sababu za kuachia wimbo wenye maudhui ya ndoa iangwa wote watatu bado hawajaingia kwenye maisha ya ndoa.

Akizungumza na Dizzim Online Nikki amesema kuwa wao kama wasanii ni kioo cha jamii hivyo wanayo sauti ya kuzungumzia jambo lolote hata kama wao sio washiriki kwa kuwa siku zote kwa kufanya hivyo inaleta maana kuu ya msanii.

“msanii ni kioo cha jamii…msanii ni zao la mazingira yake sio lazima kitu kiwe kimemtokea yeye lakini as long as anakona na anakiexperience anaweza kukitafsiri katika njia ya sanaa.

 

Comments

comments

You may also like ...