Header

Belle 9 ataja watu watatu muhimu waliomfikisha alipo sasa (+Video)

Msanii wa Bongo Fleva Belle Nine anaesumbua na wimbo wake wa ‘Give it me’ amefunguka na kuwataja watu watatu muhimu waliochangia yeye kufikia malengo yake kimuziki hadi kufikia hapa alipo alipo.

Akizungumza mbele ya Kamera za DizzimOnline Belle 9 ametaja watu watatu huku akisisitiza kuwa mpenzi wake ni moja ya watu waliomsaidia yeye kufika hapo alipo,Mtazame hapa chini Belle 9 akitaja watu wawili waliomsapoti kwenye muziki wake

Comments

comments

You may also like ...