Header

Hizi ndiyo Tattoo mpya alizochora Justin Bieber zilizowatibua mashabiki wake (+Picha)

Mkali wa muziki wa pop Duniani mwenye asili ya Canada anayeishi nchini Marekani, Justin Drew Bieber (Justin Bieber) amezidi kuuchafua mwili wake kwa Tattoo,kama mwenyewe alivyowahi kuahidi mwaka 20013 kuwa angetamani mwili wake ujae tatoo kama Lil Wayne .

Bieber amechora Tattoo nyingine kwenye kifua yenye mchoro wa simba dume, Justin Bieber amechora Tattoo nyingi kwenye mwili wake ikiwemo yenye Alama ya msalaba, Tai, Son of God na nyingine nyingi.Tazama picha za Tattoo yake mpya

Bieber Aongeze Tattoo Nyingine Kifuani

Hata hivyo mashabiki wake hawajafurahishwa sana na kitendo hicho kwani wamemfananisha ishara hiyo kama ni ya kishetani.

Comments

comments

You may also like ...