Header

Idris Sultan ampa pole mama yake Harmonize

Muigizaji na mchekeshaji Idris Sultan aendeleza timbwili la kurushiana maneno mtandao kwa msanii wa Bongo Fleva Harmonize baada ya mzozo huo kushamili hapo jana.

Harmonize alijibu post ya Idris Sultan kwa maneno yaliyoonesha kuwepo kwa kutoelewana na mapema asubuhi hii Idris kupitia ukurasa wake wa Instagram alipost ujumbe ulionesha kuendana na jambo lililopo kati ya wawili hao na kutuma salamu za pole ziende kwa mama mzazi wa Harmonize kwakuwa katika maohijiano Harmonize alisema kuwa anaenda kumuona mama yake mgonjwa.

“classy is whenuna mengiya kusema ila unamua kunyamaza mbele ya wapuuzi…not worth your time…mpe pole mama, Allah ampe nguvu zaidi inshaallah #Goodmorning” Alipost Idris Sultan.

 

Comments

comments

You may also like ...