Header

Licha ya kumiliki majumba na magari ya kifahari Akothee akiri bado ni masikini

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya anayefanya poa na kazi yake ‘Tucheze’ Akothee amezungumzia maoni ya watu kuhusu utajiri wake na anavyouchulia nje ya maoni ya wadau na mashabiki.

“i dont know what people value about being rich…i own few propersties around i have not attain the levels where i want to reach so i dont know, They say i am rich but i think have not reached the levels that i want to be” Alisema Akothee.

Hata hivyo katika mahojiano ameonekana kuvaa vitu vya thamani kubwa ambavyo ni saa ya mkononi yenye urembo wa dhahabu ilimetajwa kuwa na thamani ya 600$, miwani ya dhahabu yenye thamani ya 850$.

Comments

comments

You may also like ...