Header

Msanii kutoka kenya Dazlah alilia penzi Elizabeth Michael ‘LULU’

Mwanamuziki anaefanya vizuri kwa sasa kutokea Mombasa Kenya Dazlah Kiduche ameshindwa kuzuwia hisia zake kwa malkia wa Bongo movie Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kuweka wazi kumzimia KNOMA mrembo huyo.

Akipiga story na DizzimOnline Dazlah amesema kuwa Lulu ni mwanamke wa ndoto yake anampenda siku nyingi na ujio wake Tanzania tutegemee kitu chochote kutoka kwakwe na Lulu.

“Lulu ni mtoto mkali sana  kama leo nikibaatika kukutana nae ama awe kwenye mkono wangu yani naweza fanya chochote kuhusu mawasiliano kwakuwa nimekuja tanzania huenda ikawa ndio njia ya kuonananae” amesema Dazlah.

Hata hivyo Dazlah ameongezeka katika orodha ya wasanii waommzimia Lulu baada ya Bahati kuwahi kusema kuwa kama angepata nafasi ya kuoa Staa kutoka Tanznania asingesita kwa Lulu.

Comments

comments

You may also like ...