Header

Alichokiandika Bien Wa Sauti Sol Kuhusu King Kaka Kitakuwacha Ukitabasamu

Si Jambo la kawaida ukiona msanii haswa wa humu nchini akimsifia msanii mwenzie haswa kupitia mitandao ya kijamii, lakini hapo jana msanii Bien-Aimé Baraza kutokea kundi la Sauti Sol alimsifia Msanii King Kaka kupitia mtandao wake wa facebook Kwa kuandika “King Kaka is a hard working artist. He’s a doer”. Mashabiki walionekana kufurahishwa na kauli hiyo, hizi ni baadhi ya comments:-
*Jackline Gatwiri: Artists who support fellow artists. Great job Bien-Aime. Baraka!
 *Meryl Paige: he is awesome…super hardworking.. *Amin Virani Elchie: Bien-Aime Baraza agreed…
 *Jane Jebichii Tarus: I second you in this.
Huenda ikawa King Kaka ambaye yupo holiday pande za Kilifi hajaona ila najua sasa habari imeshamfikia.

Comments

comments

You may also like ...