Header

Joh Makini adata kwa Rosa Ree

Rapa na mwanakikundi na kampuni ya WEUSI Joh Makini mbali na kutajwa kuwa miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri katika muziki wa bongo fleva amemtaja rapa wake wa kike anayemkubali kwasasa.
Hitmaker huyo wa ngoma ya WAYA amemtaja Rosa Ree kuwa ni rapa anayemfatilia nyendo zake kutokana uwezo mkubwa naoonekana kuwa kimuziki kwa kipindi hiki.

“bila kuzunguka sana rapa mpya wa kike Rosa ree ni mkali nampenda sana ana flow Kali sana ,amesema joh makini Rosa ree anafanya vizuri na ngoma yake Up in the air” Alisema Joh Makini.

Hata hivyo mbali na Rosa Ree Joh pia amewataja kundi la Omg na Motra The Future kuwa ni wasanii ambao wa kuwangalia sana hasa kwa mwaka huu kutokana na uwezo pia kazi zao

Comments

comments

You may also like ...