Header

Lil Ommy hana cha kujieleza juu ya ushujaa wa Lady JayDee

Mtangazaji wa kituo cha Times Fm Omary Tambwe a.k.a Lil Ommy ni moja ya watangazaji aliofika katika uzinduzi wa Album ya saba ya Binti komando Judith Wambura ‘Lady JayDee’ inayokwenda kwa jina WOMAN.

Katika kuonesha kuguswa na ukomavu wa Lady JayDee kwenye muziki wa Tanzania Lil Ommy amesema kuwa moja ya heshima kubwa kwa msanii katika muziki ni kuwa na album jambo ambalo Jide amelifanikisha hilo kwa hatua ya album saba mpaka sasa.

Yatazame mahojiano kati ya Dizzim Online na Lil Ommy.

 

 

Comments

comments

You may also like ...