Header

Mary J. Blige kuiachia ‘Strength of a Woman’ April 28, atoa orodha ya nyimbo zitakazokuwemo

Amekuwa kimya mwa muda. Na sasa ‘queen of hip hop soul’ Mary J. Blige anarudi na album mpya, Strength of a Woman itakayotoka April 28.

Muimbaji huyo pia amezitaja nyimbo zitakazokuwemo kwenye album hiyo pamoja na wasanii aliowashirikisha. LP hiyo ina jumla ya nyimbo 14.

Hii ndio tracklist yake:

Love Yourself (f. Kanye West)
Thick Of It
Set Me Free
It’s Me
Glow Up (f. Quavo, DJ Khaled and Missy Elliott)
U + Me (Love Lesson)
Indestructable
Thank You
Survivor
Find The Love
Smile (f. Prince Charlez)
Telling The Truth (f. KAYTRANADA)
Strength Of A Woman
Hello Father

Comments

comments

You may also like ...