Header

Mrembo Victoria Kimani akunwa na ujio wa rapa Kendrick Lamar

Msanii wa muziki wa afro pop kutoka Kenya Victoria Kimani ameshindwa kujizui mbele ujio wa ngoma mpya ya kwanza kutoka katika album ya rapa kutoka Marekani.

Kupitia ukurasa wa Instagram Victoria Kimani alipost moja ya picha inayopatikana katika video ya wimbo huo mpya wa Kendrick unaojulika kama kama ‘humble’ akionesha kuukubali sana na kusema kuwa angekuwa rapa angetamani kuwa Kendrick kufuati ujio huo leo. Hata hivyo jina halijaulikana ingawa taarifa za awali zinasema kuwa album itatoka tarehe 7 mwezi ujao.

“Bruhhhhh…..kama ningekuwa rapa ningekuwa Kendrick….hizi video pia … @iam_sos1 tunaweza kufanya hili bika kufa?! Mimi ni #mnyanyekevu” alipost Victoia Kimani.

 

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...