Header

Tazama Picha za mastaa wa Bongo walivyomsindikiza Lady JayDee kwenye uzinduzi wa album yake ya 7 ya ‘Woman’

Leo ilikuwa ni siku muhimu sana kwa msanii mkongwe wa Bongo Fleva Lady JayDee kwani alikuwa anazindua album yake ya saba ijulikanayo kama ‘Woman’ sherehe zilizofanyika Ukumbi wa King Solomoni hapa jijini Dar es Salaam na hapa tumekuletea picha za tukio hilo A-Z

Comments

comments

You may also like ...