Header

April 2017


April 30, 2017

Mwana FA aitaka Yanga fainali ya FA

Msanii mkongwe kwenye gemu ya Bongo Fleva Mwana FA a.k.a Binamu anayesumbua na Ngoma yake ya Dume Suruali ambaye pia ni mahabiki wakutwa wa Simba Sports Club na Manchester United ametia neno baada ya Wekundu wa Msimbazi kutinga fainali. Binamu  ... Read More »

April 30, 2017 0


April 30, 2017

Sunderland bye! bye! EPL

Timu ya Ligi kuu England, Sunderland imeshuka daraja rasmi baada ya mfululizo wa matokeo mabaya na jana kuruhusu kipigo cha goli moja dhidi ya Bournemouth ,Goli lililowaonesha njia ya kutokea. Sunderland ambao wameshuka kwa mara nne kwenye misimu tofauti tofauti ... Read More »

April 30, 2017 0


April 29, 2017

Zlatan Ibrahimovic agomea Mshahara wa Man.U

Mshambuliaji mkongwe wa Man United, Zlatan Ibrahimovic amekataa mshahara wake hadi atakapopona. Zlatan alisaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Man United na anatakiwa kulipwa pauni 250,000 kila wiki, yeye amesema hataki mshahara hadi atakapopona.  Ibra aliumia katika goti katika mechi dhidi ... Read More »

April 29, 2017 0