Header

Copa Amerika watamani kukaribisha timu za Ulaya

Katika soka tamu na lenye kuvutia sana kulitazama ni soka la Amerika ya Kusini kwani mataifa ya  Amerika Kusini yanaongoza kwa kusakata kabumbu linalonaovutia kuangalaia na ndio maana haishangazi kuona  timu ya kwanza kufuzu komba la dunia inatokea ukanda wa  Amerika kusini

Mfumo wa mashindano ya Copa Amerika kwa sasa ni timu 12 lakini wanataka kuongeza timu zingine 4 ili ziwe 16 lakini kwa sasa waandaaji wa mashindano hayo wamekutana na kujadili kuongeza baadhi ya mataifa yenye asili ya Amerika lakini pia Japan ikiwemo katika mpango huo

Nchi za Ureno na Hispania ni moja kati ya mataifa wanayozungumza lugha moja na mataifa ya Amerika Kusini na mpango huo unaweza kufanya wao wakiwa na nafasi kubwa ya  kushiriki michuano Copa Amerika mwaka 2019.

Comments

comments

You may also like ...