Header

“Ni bora Mnyama kuliko T.I.D”

Msanii na mkongwe wa muziki wa kipya Khalid Mohamed a.k.a TID aonesha kuchoshwa na watu wake wa karibu wanaokutana naye na kumuita jina lake la umaarufu na kuwapatia jina mbadala badala ya TID.

Akizungumzia kuchoshwa na jina hilo la TID amesema kuwa jina hilo watu wengi wanalijua na kuitwa itwa jina hilo hasa kwa watu wanaomjua linamkera sana na kusema kuwa watu wote hasa wanamjua kwa ukaribu ni vyema wamuite Khalid au Mnayama.

“TID ni jina ambalo watu wengi wanalijua, ni jina ambalo lipo kwenye midomo ya watu…limekuwa catch sana lakini sasa nataka nitumie jina langu halisi, Naitwa Khalid lakini on stage niite TID, au niite Mnayama lakini TID is too common i hate that name meeeen, yaani its like billbord its too much, every time TID! TID! wasiniite potelea mbali” Alisema TID alipokuwa akizungumza na ENews ya EA TV.

Hata hivyo TID maesema jina hilo linalojulikana sana waachiwe watu waliko nje ya mkoa wa Dar es salaam

Comments

comments

You may also like ...