Header

Mheshimiwa Temba asema anatamani kuchora tatoo mwili mzima.

Tatoo ni moja kati ya vitu ambavyo watu wengi huogopa kuchora kutokana na ugumu wa kufuta tatoo hiyo pale utakapohitaji kufuta,hii huwafanya watu wengi ikitokea wamechora basi huchora chache sana lakini hii ni tofauti kwa Mheshimiwa Temba ambaye yeye yuko tofauti na wengine wote

Kwenye interview yake na The Playlist ya Times FM moja kati ya maswali aliyoulizwa Mheshimiwa Temba ni kuhusiana na michoro iliyopo kwenye mwili wake (Tatoo) na yeye mwenyewe amesema moja kati ya vitu anavyotamani ni kuchora tatoo mwili mzima.

 

Comments

comments

You may also like ...