Header

Burna Boy na Antoneo Soul washikana mashati

Msanii wa muziki wa RnB kutoka Kenya ameingia katika mzozo wa maneno na msanii kutoka Nigeria Burna Boy aliyekuwa na show yake iliyofanyika usiku wa kuamkia leo mjini Nairobi Kenya.

Mapema leo Antoneo Soul alilalamika mtandaoni kwa kuwarushia maneno na lawama promoters wa Kenya hasa walioshiriki katika tamasha la Burna Boy huku akimtaja Burna Boy kama ‘Diva’ katika ujumbe uliomchefua kiasi cha kuchukua jukumu la kumjibu Antoneo Soul.

Burna Boy

 

Picha lilianza kama ifuatavyo, Atoneo alitweet

Kisha akafutisha tweet nyingine

Burna Boy aliona haiwezekani kwake kukaa kimya basi akatweet ujumbe wa kumjibuAntoneo

Na bado hakuishia hapo aliendelea

Jumbe ziliozoonesha kuwa kuna vita kubwa ya wasanii wageni wanapofanya maonesho nchini Kenya hasa watokao Nigeria na waandaaji kuwapa kipaubele ni jambo linalowakera wasanii wengi na baadhi ya mashabiki.

Comments

comments

You may also like ...