Header

New Music Video: Coyo Mc – Ziwafikie

Ni kazi mpya kabisa kutoka kwa rapa mwenye bendera ya Mwanza mkononi muite Coyo Mc na kazi yake mpya inyokwenda kwa jina ‘Ziwafikie’ chini ya hatimiliki ya Tetemesha Entertainment imetayarishwa kwa ushirikiano wa Daydream na KidBway na katika kukamilisha video kali ya wimbo huu mhusika mkuu ni muongozaji mwenye ujuzi mkubwa Nisher.

Itazame Video hapa chini.

Comments

comments

You may also like ...