Header

Confirmed:Kolabo ya Joh Makini na Davido inaelekea kutimia sasa.

Joh Makini kwenye interview zake kadhaa amewahi kupokea maswali mengi sana yanayohusu kolabo kati yake na Mwanamuziki toka Nigeria Davido ambapo stori za wimbo huu kufanyika zilisambaa toka mwaka 2014 Davido alipoletwa na Clouds Media kwa ajili ya tamasha la Fiesta.

Taarifa njema ikifikie kuwa kolabo hiyo kwa sasa iko kwenye hatua za mwisho kwa sababu Joh Makini ameenda kukutana na Davido South Africa kwa ajili ya kushoot wimbo huo ambao haujajulikana lini utatoka rasmi audio pamoja na video yake.

Davido kwenye post yake ya Instagram amepost akiwa na Vidwo vixeen kadhaa na Joh Makini na kuandika maneno haya>>Back to work !! On set ? shoot @johmakinitz ft Davido ….. TZ ?? x NAIJA ?? !!’ -Davido.

Back to work !! On set ? shoot @johmakinitz ft Davido ….. TZ ?? x NAIJA ?? !!

A post shared by Davido Adeleke (@davidoofficial) on Apr 3, 2017 at 11:54am PDT

 

Comments

comments

You may also like ...