Header

Roger Federer atwaa taji la michuano ya Miami Open 2017

Nyota namba saba kwa ubora wa mchezo wa tenesi duniani Roger Federer usiku wa kuamkia leo ametwaa taji la michuano ya wazi ya Miami,Roger raia wa Uswisi alimshinda mpinzani wake Muhispania Rafael Nadal kwa seti mbili.

Katika seti ya kwanza Feder alishinda kwa 6-3 na ya pili akishinda kwa 6-4,Mchezaji huyu amepanga kupumzika kwa miez miwili baada ya usindi huo,Na anatarajia kurejea uwanjani katika michuano ya wazi ya Ufaransa.

 

 

Habari ni kwa hisani ya mtandao wa BBC.

Comments

comments

You may also like ...