Header

Exclusive: Dizzim Premiere: Bahati x Rayvanny – Nikumbushe

Bahati ni msanii wa muziki wa injili aliye na nafasi nzuri kimuziki nchini Kenya ambaye ameingia katika matumizi ya sauti kwenye muziki na Rayvanny na kufanikisha wimbo unaokwenda kwa jina ‘Nikumbushe’.

Utayarishaji wa wimbo umeanzia kwenye mikono ya mtayarishaji Lizer kutoka Wasafi Recods na kushirikiana na Paulo kutoka Emb Records kisha video ikafanyika chini ya uongozaji wa X Antonio.

Kazi hii ya Nikumbushe ni wimbo wa msanii wa pili wa injili kutoka nchini Kenya kuingia katika mkataba wa kuuza muziki kupitia Wasafi.com baada ya Willy Paul.

 

Comments

comments

You may also like ...