Header

RC Makonda atia baraka Wasafi Dot Com na kutangaza vita dhidi ya wezi wa kazi za wasanii

Mkuu wa mkoa wa jiji la Dar es salaam Mh. Paul Makonda mapema leo ametembelea ofisi za Wasafi Dot Com kwa lengo la kufahamu kwa undani jinsi website hiyo ya kuuza muziki inavyofanya kazi katika kuuza kazi za wasanii.

Katika kukamilisha hilo Paul Makonda ametangaza vita dhidi ya wanaojihusha na wizi wa kazi za wasanii ambapo  Diamond Platnumz na uongozi wa mzima wa website walishiriki kutoa maelezo ya kina kuhusu Wasafi.com ambapo wamsindikizwa na msanii kutoka Kenya ‘Bahati’ ambaye tayari ana mkataba na Wasafi.com.

Tazama tukio zima lilivyofanyika.

Comments

comments

You may also like ...