Header

Msemaji wa Ndanda FC awachimba mkwara Azam FC

Msemaji mkuu wa klabu ya Ndanda Fc kutoka Mtwara Idrissa Bandari ametia neno kuelekea mchezo wao dhidi ya Azam Fc wa michuano ya shirikisho la soka Tanzania bara.

Akizungumza na Dizzim Online Bandari amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi na kuelekea fainali japo wanatambua kuwa Azam Fc ni timu ngumu na ni kubwa kwenye soka la Tanzania.

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...